maisha magic bongo logo
slim
maisha magic bongo logo

Maisha Yangu

160RealityPG13

Mtangazaji Maarufu, Milliard Ayo – Maisha Yangu

Video
26 Aprili

Milliard alikuwa na ndoto za kuwa fundi TV lakini, alivutiwa sana na ulimwengu wa Sanaa na utangazaji. Ungana nasi tukiongea na mtangazaji maarufu akitoa simulizi ya safari yake ya kikazi katika #MaishaYanguTZ