maisha magic bongo logo
slim
maisha magic bongo logo

Maisha Yangu

160RealityPG13

Basil Mramba — Maisha Yangu

Video
05 Aprili

Waziri mstaafu Mramba ametumika sana nchini Tanzania. Anasifiwa kwa kazi aliyofanya huko Rombo kama vile kuinua wakaaji a mkoa huo na kuendeleza miradi iliyopita mipaka ya Rombo.