maisha magic bongo logo
Nyavu Slim BB
maisha magic bongo logo

Nyavu

160Drama16

Baba ya Fifi ni nani? – Nyavu

Video
10 Juni

Baada ya heka heka zilizopita, Sudi alijeruhiwa, lakini alinusurika. Shani na Stoni wanaongea. Heri anamtembelea Ida kumjulia Sudi hali. Katika mazungumzo yake na Ida na kutokana na mapenzi yao yaliyopita, swala mufti linazuka! Ni nani Baba mzazi wa Fifi?