maisha magic bongo logo
Nyavu Slim BB
maisha magic bongo logo

Nyavu

160Drama16

Asiyefunzwa na Mama! – Nyavu

Video
27 Mei

Sudi anamkosea heshima mama yake mzazi na kukataa kabisa kurudi masomoni. Huku Stoni anaendelea kumhangaisha mke wake, madharau chungu nzima! Siti ako na malalamiko na maonyo kwake Bi Lena! Lena atayapokea mawaidha ya Siti?