Tamthilia inayogusa mizizi ya familia ya kiafrika – MpaliFamilia ya Nguzu inazidi kutikiswa! Katika msimu huu mpya wa Mpali, mapenzi, urithi na migogoro ya kifamilia vinagongana kwa kasi ya kusisimua. Ni hadithi ya kizazi kinachopambana na mizigo ya mila, siri za zamani na vita ya ndani isiyo na mshindi wa moja kwa moja. Hii ni tamthilia ya maisha halisi — yenye hisia kali na maamuzi magumu.