Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E68
23 Julai 21:30
'S8/E68 of 126'. Maria yanamkuta, Professa anazidi kuchanganyikiwa, Eva na Bill wanapiga hatua na ex wa Enzo anarudi kul...