channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Yakobo na Chibu wagombana na mapanga – Huba

Video
04 Septemba

Nandy na Yakobo wazidi ukaribu wao na Chibu awafuma na kukasirika. Devi adai namba za simu za Tima kwa Chidi na Happy. Kibibi na Pablo wa fumwa na mapolisi wakati maombolezi ya Rani na Ruki yaendelea.