channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Tima akutana na mchepuko wa baba yake – Huba

Video
08 Januari

Doris ana maswali kuhusu baba yake mzazi na Bi Kisitu hatiki kuongea. Tima ana Devi waenda uswazi kutembelea Kashaulo na Sidi awaficha alipokuwepo. Lakini hatimaye Tima akutana na mchepuko wa Kashaulo.