maisha magic bongo logo

Madam Lucci afunguka hamtaki tena Moses

Video
04 Aprili

Moses aomba msamaha, lakini Madam Lucci hana mpango tena! Je, huu ndiyo mwisho wao kabisa? Tazama kilichotokea ndani ya #Yolanda! :fire::broken_heart: