channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Kibibi anafanya kazi gani? – Huba

Video
09 Julai

Madam Liya bado anamsumbua Kibibi na Devi ana maswali kuhusu kazi ya Kibibi. Jude awafokea Happy na Chibu mbele ya Tima. Hatimaye Nicole na Sidi wakutana tena na Yakubu aenda ofisini kwa Doris.