channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Happy na Chidi wafunga ndoa – Huba

Video
04 Juni

Devi aja nyumbani kwa Tima wakati Chidi akuliwa kwenye shughuli ya kufunga ndoa na Happy. Chidi aamua kumdanganya Devi kwamba Tima na Jude ndio wanaofunga ndoa. Doris na Roy waendelea kugombana wakati Devi arudi kumwomba Kibibi amuoe.