channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Fei afika mjini –Huba

Video
07 Julai

Jude akutana na Devi na Roy juu ya kuangamiza Kibibi. Fei afika kwa JB kuchua majivu ya Ruby. Jude ampiga Tima tena na Fei ajielezea kwa JB. Nicole amfokea na kumfukuza Jude, tatizo nini?