channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

Bi Sikitu na Doris waingia kwenye maombi –Huba

Video
16 Juni

Bi Sikitu na Doris wamuogopesha Tesa kupitia maombi, kashaulo bado hajapata kumbukumbu zake. Kibibi amwambia Doris kwamba hata muacha. Tesa ataka Roy atoke kwake.