channel logo dark
Season 14
channel logo dark

Huba

160Tamthilia16

‘Damu ikimwagika haifunikwi na mchanga’ –Huba

Video
30 Juni

JB amuonya Yakubu kuhusu kufuatilia kilo cha dada yake. Kibibi ajaribu tena kwa Fabrizio. Devi aamua kuwa single na bado anamtaka Tima. Nelly yupo tayari kulipiza kisasi na amuonya Devi.