Malika, binti mwenye ndoto za kuwa mtu mkubwa katika tasnia ya filamu , ndoto yake inampelelekea kujikuta sio tu anatunza siri kubwa lakini pia akiwa na rafiki zake wana angukia katika dhoruba lingine zito.
Mabinti hawa marafiki Didi, Malika na Tana, katika tamthilia hii wanaonekana wakiwa na mambo mengi sana, jambo linalo pelekea kujikuta wanayakanyaka, walingilia na kuiba pesa nyingi kutoka kwa jangili mmoja.
Zoezi la kuwasaka linazidi kuwaweka hatarini.
Kwa upande mwingine Camila nae anapambana na taarifa za kijana wake kufuata nyayo za baba yake, huku Sudi nae anajivika ngozi ya kondooo, wakidhani yeye ni mjina kumbe anapanga kulipiza kisasi
Je ni nini kitaendelea huku fuatilia Gharika kila jumamosi na jumapili saa 3 Usiku……