Venny na Yolanda wanamfokea kaka yao Selemani. Wanaamini kuwa ana ujumbe hataki Kushare nao. Kwa upande mwingine, Micheal amwitisha Asia pesa zake na amempa siku tatu kulitimiza hilo huku Kadogo ana mazungumzo na shoga yake kuhusiana na Nyamori kuwa mume wake na yuko radhi kumlinda kwa vyovyote.