The Make Over ni shindano la make-up artists Tanzania, likileta pamoja vipaji vya ubunifu na ustadi wa kupamba. Kila wiki washiriki wanashindana kubadilisha muonekano kwa brush na powder. Tazama shindano hili la kipekee kwenye Maisha Magic Bongo!
S1 | E18
22 Agosti 20:00
'S1/E18'. Kipindi hiki kitakuwa jukwaa na fursa kwa Make Up Artist kuonyesha uwezo, ubora na utofauti wao.