Tashtiti ni gossip show ya kusisimua kutoka Maisha Magic Bongo, ikileta umbea wa mastaa, skendo kali na habari moto za burudani. Kila sehemu inajaa vicheko, drama na udaku wa moto unaotikisa mitaa ya Bongo kupitia DStv Tanzania.
S1 | E1
15 Agosti 19:00
'S1/E1'. Umbea kwa ukubwa zaidi,tunachambua skendo na habari moto za miji yetu mitandaoni na mitaani kwetu, huu ni udaku...