Anna anakiri kosa lake la kutoifikisha karatasi ya kesi mahakamani. Mbele yake yupo Diba na Davis. Kwa upande mwingine, wawakilishi wa familia ya Diba wamefika nyumbani kwa Profesa kumradhi yeye na mkewe kuzungumza na Anna, binti yao kuhusu kumwachia huru Diba kimapenzi kwa madai kuwa Anna ameikaba moyo na akili ya Diba.