maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Doris ni mjamzito! – Huba

Video
12 Novemba

Hatimaye Nandy aja kumtembelea Doris. Kibibi arudi Zanzibar na anatafuta habari za Ngote. Chidi anajikuta peke yake na Jude na Kibibi aombwa mkono wa ndoa. Doris apata uhakika kwamba ni mjamzito.