Tamthilia hii inahusu mapenzi, pesa, tamaa na uchawi. Dunia mbili tofauti zinapokutana moja kudhibitiwa na fedha na nyengine ikifunikwa na uchoyo, mapenzi yanatoa matumaini ya kuishi.
S14 | E46
01 Julai 21:00
'S14/E46'. Ray anajulikana na kila mtu, ila kivuli chake hakijulikani, anapanga kisasi kwa Kibibi anayefufuka kwa hasira...