maisha magic bongo logo
Nyavu Slim BB
maisha magic bongo logo

Nyavu

160Drama16

Vichwa vywetu sisi wawili! – Nyavu

Video
21 Decemba

Shufi anataka kukata uhusiano wake wa biashara na Stoni. Stoni akataa na Shufi anataka kumshirikisha Dina. Dina agundua kwamba Ida ni mama yake na Shufi. Siti amshikia bastola Shufi ili ampeleke kwa Ida.