maisha magic bongo logo
Jua Kali
maisha magic bongo logo

Jua Kali

160Tamthilia16

Suzzy ataka kwenda mjini – Jua Kali

Video
29 Mei

Suzzy hayupo tamari kuwa na mume. Bill Juniour akumbuka jinsi alivyomfokea Zai na Mama Eva agombana na mwenyekiti. Anna agombana na baba yake juu ya uamuzi wake. Frank aja kumuomba Thomas ushauri.