maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Sumu ya Rani imekuwa mauti yake! – Huba

Video
26 Juni

Baada ya kifo cha Bi Mgeni, Bi Tesa, Kashaulo na wengineo wanaenda kutoa rambirambi zao. Tima anawazomea walivyomtesa Mama yake. Rani naye, amepanga kumdhuru Tima katika sherehe ya kumpokea mwana. Doris anagundua uovu wa Rani! Sumu ya Rani imemurudia yeye mwenyewe!