maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Sada yuko hatarini– Huba

Video
06 Agosti

Devi amlazimisha Monica kumsahidia kutafuta simu yake. Bi Kisitu amuibia Sada mawe yake na Yakubu apata kipigo. Roy akutana na Nandy na Tima agundua kwamba Annette ametiwa jela. Kibibi amfukuza Devi na Sada apigwa risasi.