maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Polisi watafuta muuaji wa fundi magari – Huba

Video
05 Novemba

Chidi ataka kumsahidia Tima ili aachane na Jude, wakati mapolisi warudi kuulizia kuhusu kifo cha fundi wa magari. Carlos na Kashaulo wagombana. Doris adhani kwamba amebeba mimba na Devi amfukuza Nelly.