maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Nelly Yuko Wapi? - Huba

Video
28 Februari

Abby amemhakikishia Dave kuwa atawaachia huru ikiwa watamwambia alipo Nelly. Kwa upande mwingine, Bi Kisitu na Bibiye Kibibi wanaendelea kushikiliwa na mganga na wana mipango ya kutoroka.