maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Nandy ampiga Doris – Huba

Video
27 Agosti

Roy amwambia Doris kwambq ingawa ana ujauzito moyo wake bado upo kwa Nandy. Fabrizo aja kumchukua Kashaulo na Carlos awaza ni kwanini Kashaulo amekuwa muoga. Tima na Tesa wabishana matusi na hatimaye Nandy akutana na Doris.