maisha magic bongo logo
maisha magic bongo logo

Mwali

160DramaPG13

Mwanahawa atakufunga ndoa na Chifu Pingu – Mwali

Video
11 Juni

Chifu Kandamsile aishia kuumwa baada ya kugombana na Semindu. Pia Zawadi ataka kumwambia Nozo ukweli na adai kumuna baba yake. Mwanahawa haja kumtembelea Chifu Pingu.