Tension yazidi kupanda katika JIVU! Baada ya hali kuwa ngumu kazini, wafanyakazi wa Temboni wanachoka kuvumilia na kufanya maandamano makali hadi kwenye nyumba ya Mzee Habib, wakitaka haki zao.
Munir anajitokeza kama mpatanishi —anajaribu kuzuia ghasia zisizimike. Lakini ndani ya familia, taharuki nyingine inachipuka: Razia anamwambia waziwazi Fahad kuwa Munir anaanza kumfunika. Je, huu ni mwanzo wa mapambano ya madaraka nyumbani kwa Habib?