maisha magic bongo logo
Slim BB Maisha Yanga
maisha magic bongo logo

Maisha Yangu

160RealityPG13

Mpambaji maharusi – Maisha Yangu

Video
15 Januari

Tangu utotoni Maza hakukubali kuwa nyuma kwa kila jambo alilofanya, aliamini kuwa mikono yake inaweza kufunya kazi. Amefanya karibu shughuli zote za mikono ikiwemo ususi,upambaji,utengenezaji wa vikapu,ufumaji wa vitambaa,upishi na nyinginezo