maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Mke wa hekima, Kibibi Ngote! – Huba

Video
29 Mei

Kibibi na mume wake mzee Ngote wanajadiliana swala la mzigo wake, huku Kibibi anajitolea kuenda kuupokea. Atafuatiliwa na polisi au itakuwaje? Devi bado anajaribu kijitoa katika changamoto ya mabinti wake wapenzi, Rani na Tima! Machozi ya Rani yanamwagika, Devi akijaribu kuinusuru familia yake! Pata highlights!