maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Mambo yametaradadi – Huba

Video
01 Novemba

Kwenye Huba Mambo yametaradadi!! Doris anajirudisha kwa Roy, Nandy na Chibu mambo yanazidi kuwachanganya, je ukweli utagundulika? Tima moyo unatapatapa, Nandy bado yupo mikononi mwa Chibu, Roy hajielewi, Je hizi drama za hawa mapacha zitaisha lini? usikose #HUBATZ kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 usiku . Usikose!