maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Kichuna afika na vurugu zake – Huba

Video
29 Januari

Tima na Devi waalikwa na Jude kwenda kwenye retreat ya Kibibi. Kichuna apata muda wa kuongea na Devi, wakati Hanki na Kichuna wakosana. Kila mtu amlaumu Jude kwa kumleta Kichuna.