maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Kibibi anataka Miraj aondoke – Huba

Video
15 Januari

Kibibi ampa Miraj offer ya pesa ili aondoke na akaanze maisha mapya. Chidi enda kwa Doris kumuomba ushauri. Bi Sikitu auonya Kibibi kutompa Doris mali. Kashaulo anataka kujua pesa iko wapi na Kichuna anataka kukata mkataba na Jude.