maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Kibibi ahojiwa na mapolisi – Huba

Video
09 Septemba

Devi apata kesi baada ya kujaribu kujiua na Tima anawasiwasi kwamba nia yake ilikuwa kukutana na Jude. Doris amuonya oy kuachana na Devi wakati Yakub bado hapatikani. Tesa aanza kupata wasiwasi na JB na mapolisi wamfuata Kibibi.