maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

JB akamatwa – Huba

Video
02 Aprili

Devi amuonya Monica kuhusu Kibibi na amwambia kwamba ni bora kutojaribu kumshinda na Monica amwambia Devi kuhusu mahusiano ya Kibibi na Fabrizio. JB akamatwa na Yakubu akataa kusema kwamba anamjua. Wakati Sada agomba na wakina mama wakati Nicole aaga.