maisha magic bongo logo
Jua Kali
maisha magic bongo logo

Jua Kali

160Tamthilia16

Femi amwambia Luka ukweli – Jua Kali

Video
14 Mei

Tunu amshauri Femi asikilize moyo wake. Sophia agenda kwa jirani ya kwa ushauri, Luka agundua kwamba Femi anafanana na Frank. Wakati Anna adai kwamba Linda alimrudisha nyuma na Femi amwambia Frank kwamba anampenda Luka.