maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Dev anamfukuza Jude, Tima na Mgeni wanapanga visit! – HUBA – HUBA

Video
15 Novemba

Baada ya Roy kumchochea Dev, Jude anapata chamtema kuni! Amesimamishwa kazi na kutolewa kwa nguvu kutoka Fuli Gemstones. Mgeni anamshauri Tima watakuwa hatua kwa hatua wakienda kumpokea mwanawe. Batuli anaendelea kumsaidia Jude. TAZAMA!