maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Baba Happy bado yupo kwa Nicole– Huba

Video
24 Septemba

Mzee wa Devi aenda kwa Tima na Jude na agundua kwamba Tima ameshaolewa. Tesa anataka kujua mahusiano ya Nicole na baba yake na Happy. Bi Sikitu aonya Roy na Doris kuhusu harusi yao na Happy ajakumtafuta baba yake.