maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

“Usilazimishe vitu”– Huba

Video
11 Novemba

Bi Sikitu amuonya Doris kuhusu JB. Nelly agenda kwamba Happy alikuwa ameolewa kabla ya baba yake. Chidi na Carlos wafanikiwa kumuokoa Tima. Jude aungana na Fabrizio ili waweze kutoroka jela na Carlos amchungulia Nelly.