maisha magic bongo logo
maisha magic bongo logo

Kitimtim

160VichekeshoPG13

"Mvua njoo, katarina usije!" – Kitimtim

Video
26 Julai

Masantula ambeba Zuu nyumbani lakini huko wakutana na Pili na Zunde. Pia Masantula atokea kuwaonya wakina mama Pili na kuwambia wamuombe msamaha Masantula na Zunde azimia baada ya kumuona Pili mara nne.