maisha magic bongo logo
The Wife S1 HP BB
maisha magic bongo logo

The Wife

160Tamthilia16

muhula

1

The Wife S1 Poster

The Wife ni tamthilia ya kusisimua inayoangazia maisha ya wake wa kaka wa familia ya Zulu—wamiliki wa biashara kubwa ya teksi. Kila msimu unazama kwenye maisha ya ndoa, mapenzi, usaliti na siri nzito zinazozunguka familia hiyo hatari. Kutoka kwa Hlomu na Mqhele hadi Zandile na Nkosana, hadithi hizi zinaonyesha mapambano kati ya mapenzi ya kweli na maisha ya uhalifu.

S1 | E20
29 Juni 22:00
'S1/E20'. Hlomu, mwanahabari mashuhuri anayejikuta akianguka penzini kwa dereva wa daladala, bila kujua siri zake. Je at...

The Wife: Video, Picha na Habari Moto Moto