maisha magic bongo logo
maisha magic bongo logo

Sarafu

160DramaPG13
Chuma

Chuma

Chuma ni kijana wa mji anayejishughulisha na shughuli za ujambazi ili afanikiwe. Pia, ni Mume wa mwanamke Zinduna na ni Mfungwa wa jela.
Zinduna naye ana mapenzi ya dhati na Jack ambaye ni mwenye utajiri mkubwa uliojificha. Chuma ni kijana anayempa idhini Jack kumiliki mali zake.