maisha magic bongo logo
Mengine Zaidi
maisha magic bongo logo

Pazia

160TamthiliaPG13

Tunu apewa talaka tena – Pazia

Video
02 Juni

Tunu amwambia Saqik kwamba akataa kulala na mtu ambaye hajambebea mimba na Saqik amuomba talaka. Ben ataka Brenda akate mahusiano na Fred. Na Miriam arudishwa kazini na ukweli utoka.