maisha magic bongo logo
Slim BB Maisha Yanga
maisha magic bongo logo

Maisha Yangu

160RealityPG13

Taji Liundi — Maisha Yangu

Video
16 Februari

Mtangazaji maarufu na muasisi nchini Tanzania Taji Lihundi asimulia vile mchezo wa soka iliokoa maisha yake akiwa mtoto. Mamake aliwapa sumu yeye na ndugu zake na ni yeye tu ndio alipona!