maisha magic bongo logo
maisha magic bongo logo

Kitimtim

160VichekeshoPG13

Jiwe liko wapi? – Kitimtim

Video
04 Mei

Baba yake mdogo na Pili bado anatafuta jiwe lake la dhahabu. Kundi zima laamua kumsahidia kutafuta hilo jiwe na babamdogo abeba jembe kuchimba hilo jiwe. Na hatimaye aliye kuwa na jiwe agundulika.