Profesa Bili anatumia NGO kuficha uovu wake, akimtumia Thomas, kijana wa dini na mpendwa wa jamii. Ukweli ukifichuka, Thomas analipiza kisasi kupitia familia ya Profesa. Mapenzi, pesa na uchoyo vyazua moto mkubwa chini ya jua kali!
S8 | E54
27 Juni 21:30
'S8/E54 of 107'. Profesa agundua mengi. Frank na Maria warudiana, vita vya Sophia na Semeni vyazidi, Regina akubali kusa...