maisha magic bongo logo
Jivu S1 Slim BB Desktop
maisha magic bongo logo

Jivu

160DramaPG13

Mudrick Apelekwa kwa Bi Ajue Usiku

Video
16 Mei

Mudrick anaumwa ghafla, hali inayolazimu familia yake kumkimbiza kwa Bi Ajue usiku kwa ajili ya mafusho ya jadi. Wakati huohuo, Mpunje nae hali imezidi kuwa tete, amwakumwangukia Bi Barke akiomba apewe kazi… lakini je, nini kipo nyuma ya kazi hii?