maisha magic bongo logo
Season 14
maisha magic bongo logo

Huba

160Tamthilia16

Shida na Raha - Huba

Video
23 Julai

Kwenye #HUBATZ Kashauro hamuelewi Sidi, Tima vs Tesa, Kibibi amerudi ofisini na hasira kama zote, Barbra amekosa Imani na Steve .Kweli ataendelea kumjali? Usikose kuwa nasi #HUBATZ kila Jumatatu-Ijumaa saa 3 usiku, kupitia DStv160 pekee!